
Akizungumza na mwanahabari wa...
GPL, Batuli ambaye anaendelea kufanya vizuri Bongo Movies kila kukicha, alisema kama binadamu wengine na yeye linapofika suala la viwalo hivyo vya ndani, anapenda kununua vingi vyenye rangi tofauti.
“Nanunua nyingi lakini sipendi ziwe za rangi moja hivyo siwezi kununua dazeni nzima ila nanunua chachechache sehemu tofauti ili niweze kupata rangi tofauti,” alisema Batuli
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment