Akifafanua undani wa sakata hilo, Lungi alisema alikubali kuolewa na mwanaume kwa ajili ya yeye kujipatia fedha na hakuwa akimpenda kwa dhati.
Staa wa sinema za Kibongo, Lungi Maulanga.
“Mimi mtoto wa mjini nilikuwa naye kwa sababu ana hela na nilijitoa
fahamu hadi kufunga naye ndoa, lakini haikuwa kama halali kwa sababu
yeye si Mtanzania na nilikuwa simpendi zaidi ya pesa zake tu,
nimeshazipata, nimeachana naye,” alisema Lungi.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment