Baadhi ya post za King Lawrence Instagram akimkejeli Diamond.
STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa
vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa,
Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya
kumtusi na kejeli mitandaoni.Katika kuonyesha kuchoshwa na tabia hizo za King Lawrence, Diamond ameamua kutupia picha yake akiwa amepanda baiskeli huku mpenzi wake Zari akiwa katika mkoko mkali aina ya BMW X6 akimaanisha kumkebehi mtu huyo kuonyesha kuwa hana kitu ila anaomba penzi kwa mtoto mkali aliye kwenye BMW.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment