Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper”
akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi, aliandika maneno
haya mara baada ya kubandika picha hiyio hapo juu;
“
2015 ni mwaka wakuish utakavyo na huu ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu bwana nazikubali sana”
Hii kwako imekaaje?
Mie namuunga mkono kabisa nakusema haya hapa chini:
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment