BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi
kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika
anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili,
hataki hata kusikia.
“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za
bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu macho yangu, situmii
tena,” alisema Wema.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment