Mrembo na mwigizaji Irene Uwoya, hivi juzi kati aliwauliza swali
followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda
kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. Swali
ambalo liliibua COMMENTS nyingi na LIKES za kutosha huku kila mtu
akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine
wakisema huu ni uchokozi....
Sasa na mimi ni kaona sio mbaya ni share na wewe swali hili kwa kulileta
hapa, nikiamini hapa kuana wadu na wapenzi wengi wa mwanadada huyu ili
nao wafunguke;
Uwoya aliuliza;
Kitu gani mnapenda kwenye mwili wanguuu ?????
Kazi ni kwako!!!
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment