Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TAZAMA PICHA:::HIVI NDIVYO MASHABIKI WA SOKA MARA WALIVYOCHANIA SUTI YA MWENYEKITI WA SOKA SHINYANGA

Mwenyekiti wa chama cha soka mkoani shinyanga(shirefa)benester lugora),akiwa kwenye gari la polisi baada ya kuchaniwa suti yeke na mashabiki wenye hasira mkoani mara baada ya kudaiwa kutaka kuwahonga waamuzi wa mchezo kati ya mwadui ya shinyanga na polisi mara katika mchezo wa ligi daraja la kwanza.
 Kocha julio akiokolewa kwa kupakiwa kwenye gari la polisi ili asipigwe
Mashabiki wakimzonga mwamuzi
Wachezaji wa mwadui wakitolewa na polisi baada ya kumalizika mchezo kati yao na polisi mara uliomalizika kwa kufungana mabao 2-2 na kutokea kwa vurugu za mashabiki

Chanzo Shomari Binda
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top