Mwanafunzi mmoja ametoa
kali ya mwaka kutoka University of Hawaii ambapo ilikuwa ni siku ya
graduation yake akipokea cheti chake cha kuhitimu katika chuo hicho
akichukua Degree moja lakini alipopokea cheti chake aliamua kuvua nguo
zote mbele ya kadamnasi ya watu na kutembea kurudi alipokuwa amekaa.
Baada ya kupokea
cheti chake aliaanza kuchambua nguo moja moja na kubaki na ile ya ndani
na kuwa angalia maelfu ya wahitimu pamoja na wageni waliofika siku hiyo
kwa ajili ya kusherekea mahahafali huku akinyajua juu cheti chake.
Tamaduni za Kihawaii
zinarusu mambo ya uchi lakinis sio mambo ya ngono na kwa mujibu wake
anasema kwamba kitendo alichokifanya ilikuwa ni style yake ya yeye kuwa
kumbusha watu kutokuwa na aibu na mila na desturi zao,,Ingekuwa niwewe
ungefanya hivyo kweli.....
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment