Marehemu Calista Charles Makoi enzi za uhai wake.
Kijana akiomboleza kifo cha mama yake, aitwaye Calista Charles Makoi
aliyefariki kwenye ajali mbaya iliyolihusisha basi la Mrindoko Trans na
gari dogo lililokuwa linaendeshwa na mwanamke huyo ambaye ni mke wa
mmiliki wa Hoteli na Klabu ya AQ iliyopo jirani na stendi ya mabasi
jijini Arusha Januari 5, 2015 maeneo ya Kikatiti mkoani Arusha.
Taswira ya ajali hiyo.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment