Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya
Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed mwenyekiti wa
kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution Farm lililopo Mwakaje
jimbo la Mfenesini Zanzibar wakati aliposhiriki pia shughuli za upandaji
wa miti katika shamba hilo, Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na
kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010
Kinana Anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kupanda miti
katika shamba la Spice Solution Farm Mwakaje Mfenesini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia pilipili zilizolimwa katika shamba hilo huku akipata maelezo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia viongo mbalimbali vilivyosagwa na kusindikwa tayari kwa kuuza kwa wateja.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kufukia mabomba
katika mradi wa maji wa Mbuzini jimbo la Mfenesini huku akishirikiana
na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi Ndugu Yusuf Mohamed Yusuf.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Mama
Khadija Issa Kibwana mara baada ya kuzindua mradi wa maji Mbuzini jimbo
la Mfenesini.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia bidhaa mbalimbali
zinazotengenezwa na kikundi cha akina mama wajasiriamali cha Mshikamano
Daima Kilichopo Mtopepo jimbo la Mtoni mjini Zanzibar.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Waziri Kiongozi Mstaafu
Mh. Shamsi Vuai Nahodha wakishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM tawi
la Bububu.
Waziri
Kiongozi Mstaafu Mh. Shamsi Vuai Nahodha kushoto akiteta jambo na Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM wakati wa mkutano wa ndani
uliofanyika kwenye ofisi ya CCM tawi la Bububu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halimashauri kuu ya wilaya ya Mfenesini.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndugu Yusuf Mohamed Yusuf akizungumza katika mkutano huo wa ndani.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Mh. Masauni Yusuf Masauni.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano wa ndani
Balozi
Ali Karume akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye viwanja vya Geji jimbo la Mtoni mjini Zanzibar.
Baadhi ya wananchi na wana CCM wakiwa katika mkutano huo.
Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiwahutubia wananchi katika
mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Geji Mtoni mjini
Zanzibar.
Naibu
Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi katika
mkutano huo amewataka wazanzibari kupiga kura ya ndiyo ifikapo aprili 30
mwaka huu ili kuipitisha katiba mpya iliyopendekezwa.
Baadhi
ya wanaCCM wakinyoosha mikono yao juu kukubali kupiga kura ya ndiyo
katiba mpya iliyopendekezwa ifikapo Aprili 30 mwaka huu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika mkutano huo.
(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MFENESINI -ZANZIBAR)
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment