Zimebaki siku mbili kuifikia siku ya
fainali ya Mashindano ya Miss Universe 2014, ambayo yatafanyika Miami,
Marekani January 25, 2015.
Tuliona taarifa kuhusu mshiriki wa
Tanzania, Nale Boniface kuwa moja ya washichana waliosifiwa zaidi na
mwandaaji wa Mashindano hayo, KURA yako ina nguvu kumuongezea nafasi ya
ushindi mshiriki huyo, utaratibu wote uko hapa >>>MissUniverse.com
Huenda uliwafahamu wachache, leo
nimekuwekea pichaz zao wote uwajue, wawakilishi kumi wa Afrika kwenye
Mashindano hayo wako hapa pamoja na majina yao na nchi wanazowakilisha
pia.
Zuleica Wilson, Mwakilishi wa Angola.
Nale Boniface, Mwakilishi waTanzania.
Lara Debbane, Mwakilishi wa Misri.
Hiwot Mamo, Mwakilishi wa Ethiopia.
Maggaly Ornellia Nguema, Mwakilishi wa Gabon.
Abena Appiah, Mwakilishi wa Ghana.
Gaylyne Ayugi, Mwakilishi wa Kenya.
Pallavi Gungaram, Mwakilishi wa Mauritius.
Queen Celestine, Mwakilishi wa Nigeria.
Ziphozakhe Zokufa, Mwakilishi wa South Africa.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment