Unafuatilia habari za burudani Tanzania,
basi utakumbuka swali waliloulizwa P Square walivyokuja Tanzania kuhusu
kumfahamu Diamond. Jibu lao lilitengeneza drama kwa mashabiki wa
Platnumz.
Diamond kwa sasa yupo Nigeria kwaajili
ya tuzo za Glo-CAf. Amekutana na mastaa tofauti na miongoni mwao ni
Peter wa P Square na Fally Ipupa.
Post a Comment