
Akizungumza na Uwazi, Aunty alisema kuwa haamini kama wezi wa kazi
zake ndiyo chanzo cha Majuto kuachana na filamu za kushirikishwa bali
inawezekana kuna tatizo lake lingine.
Mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto.
“Suala la wezi lipo miaka mingi na kama mkongwe na mpenda maendeleo
alitakiwa kusimama maana kila mmoja akisema achukue uamuzi kama huo ni
wazi kwamba kutakuwa hakuna msanii tena Tanzania,” alisema.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment