Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la utafutaji ndege hiyo zinadai kwamba mabaki ya AirAsia QZ8501 yameonekana baharini na kuna uwezekano ndege hiyo ipo chini ya bahari.
Saa 11:36 asubuhi, Ndege ya AirAsia QZ8501 iliondoka Indonesia.
Saa 12:12 asubuhi rubani aliomba kuipandisha ndege mpaka futi 38,000 kutokana na hali mbaya ya hewa.
Saa 12:16 asubuhi AirAsia ilikuwa bado inaonekana kwenye rada.
Saa 12:18 asubuhi AirAsia QZ8501 ikapoteza mawasiliano na rada na mpaka sasa bado haijapatikana.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment