Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Ukatili: Mwanaume Alieanza Kumbaka Mtoto Akiwa ba Miezi Minne Mpaka Miaka Minne Hadi Kuoza Kwa Sehemu za Siri.

Mwanaume mmoja nchini kenya amefanya kitendo cha kinyama baada ya kumbaka mtoto kuanzia akiwa na miez minne mpaka alipofiisha miaka nne ndipo mama wa mtoto huyo alipo kuja kugundundua baada ya mtoto kuanza kuoza katika sehemu zake siri

Tukio hilo limetokea Kenya ambapo Mtandao wa swahilihub ndi unatoa taarifa hii ikiwa na video ya mama huyo akilezea mkasa mzima wa mwanaume huyo.

USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top