Papa Francis akiifunua sanamu ya mtoto Yesu siku ya Desemba 24, 2014 wakati
alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican.
Papa Francis akibusu goti sanamu ya mtoto Yesu katika kansia la St. Peter's
Basilic siku ya Desemba 24, 2014 wakati alipokua akiongoza misa ya
mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican.
Pope Francis akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi katika kanisa la Mt. Peter ndani ya mji wa Vatican.
Misa ya mkesha wa Krismasi ikiendelea.
Pope Francisa kiongoza Misa ya Krismasi mjini Vatican kwenye mkesha wa Krismasi.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment