|
Baada ya mwanadada LULU kutupia
picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya
shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanza kujitokeza kuhusu
cheni hiyo pamoja na maana yake. Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs. MILLIONI 500 za kijana Idris toka
jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana
waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na
mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa
yamejitokeza kuhusiana na mkufu huo ulioko kwenye shingo la mrembo
LULU. 1. Swali kuu la kwanza? |
Je, LULU kanunua mkufu
wenye alama hiyo ili ufanane na ule wa Idris aliyeshinda million 500?
kama mpango yakinifu wa kujiweka karibu na ‘Millionea’ huyo?
2. Swali kuu la pili?Lulu kajiunga
FREEMASONS? Mbona mkufu wake huo una alama zao zile zao?
Tusaidie ndugu msomaji kwa maoni yako hapo chini…
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment