Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MISS: U-MISS NI STRESS TUPU!

MISS Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel, amesema mashindano ya u-miss ni ‘stress’ tupu hivyo kama mrembo anataka kuingia ni lazima kujidhatiti na kukubali changamoto nyingi.

 
Miss Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel.
Akizungumza na mwandishi wetu, Dorice alisema kuwa siku zote mrembo anapoingia kwenye shindano hilo madhumuni yake ni kushinda na si vinginevyo sasa inapotokea akaanguka maumivu yake yanatesa yanaweza kumkosesha amani kwa muda mrefu.
“Asikwambie mtu kabisa kwenye mashindano ya u-miss ni stress tupu jamani  kuanzia unaanza kujifunza hadi pale anapotangazwa mshindi halafu wewe ukakosa taji, inauma sana,” alisema  Dorice.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI. 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top