Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini na
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa CCM wa Tawi
la Kilimahewa lililoko katika Kata ya Mwenge Ndugu Mohammed Madodo mara
baada ya kuwasili katika Tawi hilo kwa ajili ya mkutano na viongozi wa
Tawi tarehe 28,12.2014.
Mke
wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi anayewakilisha
Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akihutubia wajumbe wa Halmashauri ya Tawi
la Kilimahewa huko Lindi Mjini wakati wa ziara yake ya kuyatembelea
matawi ya CCM wilayani humo tarehe 28.12.2014.
Kitu
hicho!……Chukua’ Ndivyo alivyosikika akisema Mke wa Rais na Mjumbe wa
NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete wakati alipokuwa akiongea na
viongozi wa CCM wa Tawi la Kilimahewa .
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment