Ndugu hao ambao walizungumza na gazeti
hili walidai kwamba wamesikitishwa na suala la muigizaji huyo kupata
mimba huku akijua kwamba yeye ni mke wa mtu na ni kosa kubwa kwa
mwanamke wa dini ya Kiislamu kupata mimba nje ya ndoa.
“Ni lazima tulisimamie kidete,
haiwezekani mwanamke kaolewa halafu anapata mimba nje ya ndoa, hili
suala tutalisimamia na lazima tumfikishe Bakwata,” alisema mmoja wa
ndugu.
Alipotafutwa Aunt Ezekiel kulizungumzia hilo, alisema;
“Wanifikishe Bakwata kwa lipi? Kwani nimeolewa na ndugu au Demonte? Hawawezi kunifikisha Bakwata hivyo wasinifuatilie.”
“Wanifikishe Bakwata kwa lipi? Kwani nimeolewa na ndugu au Demonte? Hawawezi kunifikisha Bakwata hivyo wasinifuatilie.”
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment