Fainali za Big Brother ‘hotshots’ zinategemewa kuanza leo saa 3:00 Usiku huku Idris akiwaongoza wenzake saba ambao ni Tayo (Nigeria), JJ (Zimbabwe), Nhlanha (Afrika Kusini), Sipe (Malawi), Butterfly (Zimbabwe), Ma mbea (Ghana) pamoja na Macky2 wa Zambia.
Endelea kupigia kura Idris ili leo arudishe heshima Tanzania kwa kunyakuwa kitita cha dola 300,000 (Sawa na 510,186,000).
Ili kumpigia kura Idris nenda sehemu ya kuandikia meseji katika simu yako kisha andika neno VOTE acha nafasi kisha andika IDRIS na tuma kwenda namba 15426. Kura yako ni muhimu sana kwa siku ya leo.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment