Featured

    Featured Posts

    Udaku

    Social Icons

    Udaku

Loading...

DIAMOND AWASILI WASHINGTON, DC INCHINI MAREKANI TAYARI KWA MAKAMUZI YA SHEREHE YA UHURU

Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland.
Diamond akimsalimia mwenyeji wake hayupo pichani mara tu alipowasili Dulles.
 Kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bwn. Phanuel Ligate
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 BONGO HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top