"Dah kiukwel napenda kuchukua nafasi
hii kumshukuru huyu mtu (SteveNyerere) kwa support kubwa aliyotupa jana
katika uzinduzi wa kundi la #KAONESANAAGROUP ,ahsante sana jamani yaan
kiukweli mnyonge mnyongen haki yake mpeni na sisi Watanzania tuna
kawaida ya kumsifia mtu akiwa hayupo Dunian lakini Stevenyerere una
moyo wa pekee sana kiukwel kama kuna ambae namkwaza anisamehe lakini
huyu baba anajitoa sana katika mambo ya wenzie sawa ana vimatatzo
kidogo vya hasira sana wahehe tunasema anakidadaa na anaweza kasirika
na akanuna lakini sio mtu wa kuweka vitu moyoni na mifano ninayo any
way nusiongee mengi ila Mungu akubariki kaka kwa moyo wako huo na
akuxidishie zaid na zaid inshaallah. .”.Davina alimaliza
Kundi la KAONE SANAA GROUP ambalo
linaundwa na wasanii wa kundi la zamani la kaole ilizindulitukiwa hapo
jana pale Dar Live na mgeni rasmi alikuwa Mh January Makamba
Picha ni baadhi ya wasanii waliokuwepo hiyo jana.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment