Wanafunzi hao wametangaza mgomo
wa kutoingia madarasani hadi hapo kero zao zote zitakaposhughulikiwa na
uongozi, kubwa kuliko zote ni uhaba wa walimu na hata wale waliopo uwezo
wao wa kufundisha haukidhi viwango. Wanafunzi hao wameenda mbali zaidi
na kuutaka uongozi wa chuo hicho kilicho chini ya kanisa moja hapa
nchini, kukirudisha serikalini kama "Ngoma" imewashinda

Huu ni umati wa wanafunzi hao wakimsikilkiza rais wao
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Post a Comment