Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFUMWA AKUTWA GESTI MCHANA KWEUPE

Askari wa jeshi la polisi na wasamaria wema wakiwa wamemdhibiti binti anayedaiwa kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba moja ya shule ya msingi Manispaa ya Morogoro,
binti huyo anadaiwa kukurupushwa katika moja ya nyumba ya kulala wageni eneo la Mawenzi. Hapa picha inaonesha wakati akipelekwa kituo kidogo cha polisi kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na mapenzi.
Wasamalia wema wakiwa wamemdhibti binti anayedaiwa kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba Manispaa ya Morogoro baada ya kumnusuru na kipigo
 kutoka kwa kundi la wananchi wenye hasira waliotaka kumshushia kipigo kufuatia binti huyu kudaiwa kukurupushwa katika moja ya nyumba ya kulala wageni eneo la Mawenzi mkoani Morogoro.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
 

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top