![]() |
Jina
lake kamili ni Funmi Iyanda , mwandishi na mtangazi wa TV kutoka
Nigeria...ana host kipidi cha New Dawn with Funmi..Aliwahikutajwa na
jarida la forbes kama Forbes 20 Youngest Power Women in Africa,
2011…cheki picha hizi akiselebuka na ma friend..kwenye siku yake ya
kuzaliwa!!!!
|




![]() |
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.




Post a Comment