Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo.
Waziri Magufuli akihutubia wadau waliofika katika sherehe hizo fupi katika Bandari ya Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar e s Salaam, Mecky Sadick, akizungumza na wadau bandarini.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema akizungumza jambo.

Baadhi ya wafanyakazi wa bandari wakishuhudia kivuko hicho.
Magufuli na Sadick wakiwa ndani ya kivuko.
Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko (TEMESA) Japhet Massele, akitoa ufafanuzi kuhusu kivuko hicho.
Waziri Magufuli akionyeshwa kamera na TV zilizomo ndani ya kivuko.
Sehemu ya viti vilivyomo ndani ya kivuko.
Magufuli akikagua moja ya vifaa vya uokoaji.
Muonekana wa kivuko hiki cha kisasa.
Sehemu ya ndani ya kivuko inavyoonekana.
Magufuli akishuka kwenye kivuko. Kwa mbali ni boti maalumu ya uokoaji.
... Akiwa na wadau mbalimbali.
KIVUKO kipya kinachotegemea kufanya safari kati ya
Jiji la Dar es Salaam na Bagamoyo kimepokelea leo na Waziri wa
Ujenzi,John Magufuli katika Bandari ya Dar es Salaam.
Kivuko hicho mabacho kitakuwa kikipita katika vituo saba kati ya miji
hiyo mwili, kimefungwa vyombo vya kuongozea vya kisasa (Navigational
Equipment) vikiwemo GPS Compass, Automatic Identification System (AIS),
Radar, Echo Sounder, CCTV Cameras na kina vyombo vya kutosha vya
kuokolea watu kama ‘life jackets’, ‘life bouys’ na ‘life rafts’.
Akizungumza na GPL, Waziri Magufuli alisema” “Kuanza kwa kivuko hiki
kutasaidia kwa kiasi kupunguza foleni kwa wakazi wa jijini la Dar es
Salaam, kwani kina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa kukaa.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment