Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Behind the scene ya kwanza ya Ay kwenye video na Sean Kingston, nyingine zinakuja

Ay 
Inawezekana mimi na wewe tunafahamu kwamba msanii wa Tanzania Ay alikwenda Marekani kufanya video na staa wa muziki duniani Sean Kingston lakini hatujapata nafasi ya kuiona video ya kwanza ikionyesha sehemu ya utengenezwaji wa video hiyo.

Saa kadhaa zijazo utashuhudia video nyingine nzito Exclusive kupitia AyoTV ambapo Ay ataonekana akiwa nyumbani kwa Sean Kingston. USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top