Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BAADA YA KUACHANA NA LADY JAYDEE GADNER G HABASH FULL BATA NA MREMBO MWINGINE

Lady Jaydee na Gadner G Habash hawajawahi kukiri hadharani kuwa ndoa yao imevunjika licha ya magazeti mengi ya udaku kuandika hivyo. Kuna kila dalili kuwa yamemwayo ni kweli hasa baada ya mtangazaji huyo mkongwe kupost picha akiwa na mrembo aliyejifunga taulo kwenye bwawa la kuogelea.
10808404_779604428744267_190252715_nGadner ambaye kwa sasa anafanya kazi kwenye kituo cha redio cha EFM alipost picha hiyo bila
kuandika chochote zaidi ya kuweka ‘emoji’ ya mkono unaopunga.
Inaonekana kuwa tayari Captain ameshaamua kusonga mbele!
 USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top