Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi
(wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili
kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais)
, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ , Luteni Jenerali Samwel Ndomba Kamanda wa
vikosi vya Ardhini wa JWTZ Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa
wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na
Makamanda wakuu wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ
katika eneo la Langarurusu, Monduli, mkoani Arusha Septemba 5, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi
(wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili
kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais)
, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ , Luteni Jenerali Samwel Ndomba Kamanda wa
vikosi vya Ardhini wa JWTZ Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa
wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na Wakuu
wa majeshi wastaafu.
Aliyeketi wa kwanza
kushoto ni Jenerali Mirishoarakikya, CDF wa kwanza wa jeshi hilo.
waliosimama nyuma toka kushoto ni Jenerali Robert Mboma, Jenerali
George Waitara na Mnadimu Mkuu Mstaafu Luteni Jenerali Martin
Mwakalindile baada ya ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya
miaka 50 ya jeshi hilo
Mkuu wa majeshi wa
kwanza Jenerali Mirisho Sarakikya akipongezwa na Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue wakati wa kupiga picha za kumbukumbu. Kulia
ni Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akifuatiwa
na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi
Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi
(wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili
kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais)
, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ , Luteni Jenerali Samwel Ndomba Kamanda wa
vikosi vya Ardhini wa JWTZ Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa
wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na
Majenerali mbalimbali
Picha ya pamoja na Wakuu
wa vikosi vilivyoshiriki zoezi la ufungaji wa zoezi la medani la
maadhimisho ya miaka 50 ya jeshi hilo
Picha ya pamoja na Wakuu wa vikosi mbalimbali
Wakuu wa vikosi mbalimbali vya infantria vya JWTZ
Na Wakuu wa vikosi vya mizinga
Kumbukumbu na Wakuu wa vikosi vya vifaru
Picha na Viongozi wa vikosi vya Wahandisi medani
Picha na Wakuu wa vikosi vya mawasiliano
Picha ya pamoja na Maafisa wa ngazi mbalimbali washiriki wa zoezi
Na Makamanda mbalimbali walioshiriki zoezi hilo
Kumbukumbu na Makamanda mbalimbali walioishiriki zoezi
Amiri Jeshi Mkuu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein
Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa
pili kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa
Rais) , Mnadhimu Mkuu wa JWTZ , Luteni Jenerali Samwel Ndomba Kamanda
wa vikosi vya Ardhini wa JWTZ Meja Jenerali Salum Kijuu katuika picha
ya kumbukumbu na Maafisa na askari walioshiriki zoezi
Picha ya kumbukumbu na Maafisa na askari walioshiriki zoezi

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Maafisa na askari wa kike
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza Maafisa na askari wa kike kwa kushiriki vyema zoezi hilo
Makamanda walioongoza sherehe hizo kwa weledi wa hali ya juu
Amiri Jeshi Mkuu na Makamanda wakisimama swawa wakati Wimbo wa Taifa unapigwa
Saluti toka kwa makamanda wakuu
Comrades in arms
Amiri Jeshi Mkuu
akiagana na Kamishna Jenerali wa Magereza Afande John Minja ambaye
alihudhuria sherehe hizo pamoja na Kamishina Mkuu wa Idara ya Uhamiaji,
Bw. Sylvester Ambokile (mwenye tai nyekundu)
Amiri Jeshi Mkuu akiagana na Naibu Inspekta Generali wa Polisi Afande Abdulrahman Kaniki
Vicheko na bashasha
vinatawala wakati Amiri Jeshi Mkuu anapoondoka eneo la Langarurusu huko
Monduli, Mkoa wa Arusha, baada ya kuongoza zoezi la medani la
maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ lililofana sana.
chanzo;GPL
Post a Comment