Kitengo maalum cha upelelezi cha Marekani FBI, na kampuni ya Apple
wametoa tamko baada ya kuvujushwa kwa picha za utupu za wasanii maarufu
wa kike akiwemo muigizaji maarufu Jennifer Lawrence, Kate Upton na Mary
Elizabeth Winstead.
Katika tamko la FBI liliripotiwa na NBC News, wameeleza kuwa walikuwa
wanafahamu kuhusu vitendo vya wezi wa njia za mtandao kuhack mafaili ya
watu maarufu waliyoyatunza kwenye simu zao kwa application za kutunza
mafaili mtandaoni na kwamba wameanza kufanya uchunguzi.
“The FBI is aware of the allegations concerning computer
intrusions and the unlawful release of material involving high profile
individuals and is addressing the matter.” Inaeleza sehemu ya tamko hilo.
Nae msemaji wa Apple anaehusika na applications za kutunza mafaili
online ameeleza kuwa kampuni hiyo imeanza pia kufanya upelelezi juu ya
tukio hilo.
“We take user privacy very seriously and are actively investigating this repor
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment