Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Agalia jinsi uzuri unavyotafsiriwa kwenye nchi 40 duniani ikiwepo Kenya kwa kutumia demu mmoja tu!!

Anaitwa Esther Honig, mwandishi wa kujitegemea anayeishi huko  Kansas City. Esther aliamua kuanzisha project inayoitwa “Before & After ambapo alituma picha yake original kwa wataalamu wa kufanya photoshop katika nchi mbalimbali duniani na kuwaambia wamtengeneze awe mzuri” . Kutokana na yeye kutumia wataalamu wa photoshop kutoka nchi zaidi ya 25 duniani. Hii ndio picha ambayo esther aliwatumia wasanii hao..

Esther-Honig-Original
Easther alitegemea tofauti katika picha hizo kutokana na kutofautiana kwa mila za nchi hizo lakini alishangazwa na jinsi tofauti hiyo ilivyokua kubwa.Zifuatazao ni picha ambazo tayari Honig ameshazipata . Ukiona nchi moja ina picha zaidi ya mbili basi ujue ni kutoka kwa wasanii wawili tofauti…

Argentina
Esther-Honig-Argentina
Australia
Esther-Honig-Australia
Bangladesh
Esther-Honig-bangladesh
Chile
Esther-Honig-Chile
Germany
Esther-Honig-Germany
Greece
Esther-Honig-Greece
India
Esther-Honig-india
Indoneshia
Esther-Honig-indoneshia
Israel
Esther-Honig-israel
Italy
Esther-Honig-italy
Kenya
Esther-Honig-kenya
Morocco
Esther-Honig-Morocco
Pakistan
Esther-Honig-Pakistan
Philipines
Esther-Honig-philipines
Romania
Esther-Honig-Romania
Serbia
Esther-Honig-Serbia
Sri Lanka
Esther-Honig-Sri-Lanka
UK
Esther-Honig-uk
Ukraine
Esther-Honig-Ukraine
US
Esther-Honig-US
Vietnam
Esther-Honig-vietnam
Venezuela
Esther-Honig-Venezuela

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top