
Hata hivyo pamoja na kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa wa maumbile ya kiume, utafiti wa hivi karibuni umeweza kuthibitisha pasi na shaka yoyote uwezo wa mti wa mvunge katika kuongeza ukubwa wa makalio.
Mbali
na kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa wa makalio, mti wa
mvunge umethibitika kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa wa matiti
pia.
Gazeti
la Mwananchi tolea la Januari 26, 2013 linamnukuu Kaimu
Msajili wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini, Dokta Naomi
Mpemba akitoa maelezo yanayo thibitisha juu ya uwezo wa mmea
wa mti wa Mvunge katika kuongeza ukubwa wa makalio.
JINSI MTI WA MVUNGE UNAVYO TUMIKA.
Mti
wa Mvunge unatumika kwa mhusika kuchanjwa katika sehemu za
makalio na kisha sehemu zilizo chanjwa kupakwa utomvu wa mmea
huo.
Baada
ya kuchanjwa na kupakwa dawa katika sehemu husika, mhusika
atatakiwa kuwa anajipaka utomvu wa dawa hiyo ya Mvunge
katika sehemu iliyo chanjwa pamoja na sehemu nyingine za kwenye
makalio mara mbili kwa siku kwa muda wa siku thelathini.
Kama mhusika anataka kuongeza na ukubwa wa matiti yake basi atafanya vivyo hivyo.

UFANISI WA MMEA WA MTI WA MVUNGE.
Kwa
mujibu wa shuhuda za watu mbalimbali walio tumia tiba ya mmea
wa mti wa Mvunge katika kuongeza ukubwa wa makalio yao,
ufanisi wa mmea huu ni mkubwa kwa asilimia mia moja!
JINSI UNAVYO FANYA KAZI.
Mti
wa Mvunge umethibitika kuwa na virutubisho vinavyo saidia
kuchochea homoni zinazo husika kuchochea ukuaji wa maumbile.
Post a Comment