Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MASTRUBATION: JE NI VIZURI AMA VIBAYA KWA MWANAMKE KUJIMASTRUBATE/KUJISTIMULATE?

 
Okay, we all know hii topic ni mh, very ngumu kuongelea ila nimeshauriwa na mtu ni iongelee. Kiukweli hata sijui nianzie wapi. But anyways, so ijapokuwa ni discussion topic nzito sijui kwako msomaji kama unaona kuna uzito wowote wa kuisoma ila on my end mh, kazi.Well, bila kupoteza muda, shall we jump and find out facts and myth juu ya wanawake na kumastrubate/kujistimulate. Uzuri wake na pia kama kuna Ubaya?


Kama inavyojulikana wanaume kwa sana ndo humastrubate/kujistimulate wakianzia katika umri wa miaka midogo (ages 8-na kwenda juu). Kwa nini? hamna anae jua so far, ila at least we know kwamba, they like the pleasure wanayo pata from doing it :)

Kwa upande wa mwanamke though hii shughuli inajulikanaje? well, kujimastrubate siku zote kunajulikana sio vizuri kutokana na mila na destruri toka zamani za kale duniani pote. Does that mean ni vibaya kujimastrubate? well, truth is SIO VIBAYA therefore, kama ndo mtindo wako basi we endeleza kazi kwani kura imekubalika!!! na hii imeproviwa na studies/wataalam. In fact, wataalam wanasema mwanamke anapojimastrubate not only inamsaidia kiafya bali anajiwezesha kuelewa ni wapi akiguswa kwenye "vajay-jay" yakee na mpenziwe ndio anapata msisimko na anaweza hata kuachieve orgasm/kilele nzuri.


Wanawake wengi hawapendi kuongelea juu ya kujimastrubate kwasabu;
KWANZA; katika society ni vibaya kusikika hata unaongelea hilo swala la kujistimulate,
PILI, kuna myth kwamba mwanamke akizoea kujimastrubate basi anaacha kupenda mapenzi (sex), TATU, vajay -jay inaonekana kama ni kiungo cha ajabu na hata wanawake kwa ujumla wengi wanaonea aibu vajay-jay zao hivyo huwa hawataki hata kuziongelewa hadharani (hili ni tatizo duniani pote according to studies),
NNE, kwanza mtu utaaanzia wapi kufanya hili tendo la kujimastrubate?


Well, truth is, wanawake wengi hujimastrubate/hujisisimua vajay-jay zao ili kusikia raha as weird as it sounds, but it is the reality. Halafu imagine kama mtu huwi laid-mara kwa mara na ma-hormon ndo hayo yanacharuka charuka ovyo inakuwaje? lazima mtu atatafuta njia ya kujifurahisha lol. Kama tunavyoelewa, kuna watu wanajitimizia kwa kuangalia "porn" (personally, I don't recommend this and will never recommend porn kutokana na health na scientific reasons to why people shouldn't be watching porn), vitu vinginee ni kama kutumia ma-toi (vibrators etc), na mikono tuliyopewa na Mungu lol wedha alipanga kujimastrubate iwee ni function moja wapo ya mikono/vidole, ndo hapo.

Let me back up a little bit, nimekumbuka. Shule za boarding haswa za wasichana peke yakee mmmh naanza kuwa na wasi wasi. Kuna wakati story zili ibukaga sana kwamba wasichana wa boarding wanabambwa sana wakitumia "TEST-TUBES" kujikamilishia haja zao…mmmh, this makes sense now. Walikuwa wana mastrubate lol ambao macho yalikuwa hayaja funguka bado sasa habari ndo hiyo watu wengine walikuwa wameshafika mbali na hii kitu hence kutumia test-tubes.

Anyways, hii topic inaanza kuniingia now and becoming more interesting to wanna talk about although still mmm kazi. Okay, kwa wale wenye same/wapenzi, studies zinaonyesha kwamba actually ukimastrubate na mpenzio ndo husaidia zaidi kwamaana mpenzi wako gets to understand you better and what you like :) So, aibu weka pembeni ;)

Anyways, kwanini mwanamke kujistimulate/kumastrubate ni vizuri:

  • Creates a sense of well-being.
  • Enhances physical and emotional bonding with partners.
  • Increases the ability to have orgasms.
  • Improves relationship satisfaction.
  • Improves sleep.
  • Improves body image.
  • Is a way to treat sexual dysfunctions.
  • Can reduce stress.
  • Can relieve sexual tension.
  • Can relieve menstrual cramps.
  • Can strengthen pelvic and anal muscles, reducing the risk for incontinence.
  • Increases the release of the feel-good neurotransmitters in the brain.
  • Can improve the health of the prostate.
  • Can improve male immunity.
  • May build resistance to yeast infections.
  • Can help relieve chronic back pain.
  • Can improve the body’s pain threshold.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top