
Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version
ilioimbwa na Lulu. Wimbo halisi uliimbwa na
Linnah msanii kutoka THT.
Hata hivyo kauli ya Diva imepokelewa kwa hisia tofauti na watu hasa
katika mitandao ya kijamii wakimponda Diva kuwa ni lazima atakuwa
msagaji. Angalia baadhi ya comments za mashabiki mbalimbali kutoka page
ya Bongoswagz
Post a Comment