1: Mwaminifu katika kila jambo.
2: Sio mbishi kwa mumewe na watu wengine.
3: Ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kwa ujumla.
4: Ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia.
5: Ni mvumilivu.
6: Ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema.

7: Ni msafi wa mwil inyumba na mavazi.
8: Mcha mungu ila asiyejiona yeye yuko perfect.
9: Anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbalimbali.
10: Ni mleta mahusiano mema katika familia zote.
11: Sio mchonganishi wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe.
12: Hana dharau,kiburi,hasira na unafiki.

Post a Comment