Matako
Makubwa Oyee!!!! Katika mila ya waafrika wengi kuwa na matako makubwa
ni urembo. Katika mila za wazungu kuwa na matako fleti kama yamepigwa
pasi ndo urembo! Wanawake wengi wenye asili ya Afrika wana matako
makubwa kiasi. Siku hizi wazungu wametengeza chupi zenye pedi maalum ili
matako fleti yaonekane makubwa! Mungu abariki waliozaliwa na matako
makubwa natural!
Post a Comment