TIMU
ya Yanga SC jana ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya
Polisi Morogoro katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Jamhuri mkoani
Morogoro. Bao pekee la Yanga liliwekwa kimiani na mshambuliaji Danny
Mrwanda.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL, MOROGORO)
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment