Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Irene Uwoya:Siku Zote Niatamuheshimu Ray, Ni Mtu Muhimu Sana Kwangu

Shukrani’ ni kitu muhimu na ni jambo jema sio hapa dunia tu  hata huko mbinguni (Kwa wanoamini), ni vyema kumshuru  Mungu kwa kila jambo na vile vile kuwashukuru watu ambao kwa namna moja au nyingine wamekusaidia kufikia hapo ulipo.
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya amekuwa sio mchoyo wa fadhira kwa kumshukuru hadharani muongozaji na mwigizaji wa filamu  Vicent Kigosi ‘Ray’ kwa kuwa ni moja ya watu waliomsaidia katika sanaa.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM, Irene Uwoya aliweka picha hiyo hapo juu, akiwa na Ray na kuandika maneno haya.
“Siku zote siwezi kuacha Kuku heshimu wewe ni mtu muhimu sana kwenye safari yangu ya sanaaa!GOD BLESS UUU”
Kitendo hiki cha Irene kilipongezwa wengi kuwa ni jambo la msingi na lakuigwa na sio wasanii tu bali watu wote, kwani  ni mara chache sana  watu kuwa shukuru hadharani  kama hivi watu amabo walisaidia katika mafaniokio yao.
Hili ni jambo jema safi sana Irene na heshima kwako Ray
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top