Baada ya story kuzaa
kwamba Cristiano Ronaldo pamoja na mpenzi wake Irina Shayk imevunjika
sasa kwenye Twittter Irina ame Unfollower aliyekuwa mpenzi wake
Cristiano Rolnaldo.
Irina mwenye umri wa miaka 29 mwenye asili kutoka Russia akiwa anafanya shughuli zake za umodel, ambaye amekuwa akidate na mchezaji wa zamani wa Man united kwa zaidi ya Takribani miaka minne Cristiano Ronaldo
Hizi hapa chini ni picha za Irina alivyokuwa mrembo sasa

USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment