
Shamsa akilia kwa simanzi wakati wa msiba wa Kuambiana.
Akipiga stori mbili-tatu na mwandishi wetu, Shamsa alisema kuwa,
Kuambiana alikuwa na kitu ambacho waandaaji wengine wa filamu hawana,
alimchukulia kama muongozaji namba moja hapa nchini.“Kwanza alikuwa binamu yangu kabisa, alikuwa ni mtu mcheshi, mwenye kuongea na kila mtu, kumsikiliza, hana maringo,” alisema.
Marehemu kuambiana alifariki ghafla, Jumamosi ya Mei 17, Mwaka huu akiwa njiani akipelekwa hospitalini na kuzikwa Jumanne katika makaburi ya Kinondoni.
Post a Comment