Kizaazaa
kilishuhudiwa mjini Karatina kaunti ya Nyeri, baada ya kasisi wa kanisa
moja kufumaniwa peupe akiwa na mwanamke anayesemekana kuwa mke wa
wenyewe ndani ya chumba cha malazi. Kasisi huyo alipatikana na umati wa
watu, uliofika hapo kushuhudia sinema ya bure.
Inadaiwa mchungaji huyo alikuwa na tajriba ya kuendesha ibada yake sio kanisani tu, bali hata kwenye vyumba vya malazi.
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI..Inadaiwa mchungaji huyo alikuwa na tajriba ya kuendesha ibada yake sio kanisani tu, bali hata kwenye vyumba vya malazi.
Post a Comment