tanamaa zinazidi kuwaponza dada zetu siku hizi, binti mmoja huko nigeria amejikuta matatani baada ya vidume kumsaula nguo zote baada ya kuiba simu ya mwenzake wanaelala nae chumba kimoja,
mkasa
ulianza pale binti alipotafuta simu yake kwa mda wa masaa matatu bila
mafanikio ndipo alipowaita wenzake nakuanza kupekua, atimaye wakapata
wazo la kuipiga simu hyo ambayo iliita mfukoni mwa mwizi huyo.
alipoambiwa apokee mwizi huyo aliruka mita mia mbili ndipo mzozo
ulipozidi majirani wakaingia na kuamua kumvua nguo zote na kumuacha
mtupu wa mnyama na ndipo simu ilikutwa kwenye nguo ya ndani ya binti
huyo.....hii nifundisho kwa wale kina dada wapenda vya bure na tamaa za
hapa na pale
HAPO CHINI NI PICHA YAKE AKIWA UCHI,WAKUBWA TU
Post a Comment