Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilibroad Silaa
(kushoto), akimjulia hali Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,
Josephat Gwajima.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akimjulia hali Askofu Mkuu wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aliyelazwa Hospitali ya TMJ
kwa ajili ya matibabu baada ya kupata mshituko katika mahojiano na
polisi akituhumiwa kutoa lugha isiyofaa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa
Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilibroad Silaa
(kushoto), akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda
walipokutana Hospitali ya TMJ walipofika kumjulia hali Askofu Gwajima.
Post a Comment