BONDIA
Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa
kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana.
Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya Morogoro.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment