Staa wa muziki Robyn Fenty Maarufu “Rihanna” ametoa single mpya ‘FourFiveseconds‘ akiwashirikisha mastaa wenzake Kanye West pamoja na Paul MacCartney.
Tangu atoe nyimbo yake ya JumpRihanna sasa amerudi upya na kuahidi mashabiki wake mambo mazuri zaidi ikiwa pamoja na kutoa albamu yake mpya mwaka huu
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI
Post a Comment