Hakuna anaeweza kupinga kuwa mrembo na
moja kati ya waigizaji pendwa wa kike hapa bongo, Jackline Masawe
“Wolper”ni miongoni mwamastaa wa kike wachache ambao wanapenda
kubadilisha mitindo ya nywele zao mara kwa mara.
Kwa wanaomfuatilia mitandaoni watakubali kuwa haiwezi ikapita wiki bila mwanadada huyu kuonekana na “style” mpya ya nywele.
Hatimaye leo akiwa katika mtindo mpya
(picha hapo juu) wa nywele, wolper alifunguka na kusema kuwa yeye
anapenda kuchezea kichwa chake na kuwaonya watu wasimuige kwani yeye
yupo tayari kwachangamoto atakazo zipata uzeeni.
“Me napendaga tuu kukichezea hiki
kichwa changu jamani nando furaha yangu ..sasa we jipenicshe na kichwa
changu wakati me sijali ila nasikitika tuu uzeeni kma Mungu akiniweka
weka hayo maumivu yake yakichwa na ubongo". Wolper alimaliza.
USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.
Post a Comment