Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NUH MZIWANDA AMSALITI SHILOLE DODOMA...MWANAFUNZI WA CBE AMDATISHA.

Hivi ndivyo ilivyotokea kwenye ENTER CLLEGE BASH 2014.. Show iliyokutanisha wanafunzi wa vyuo vyote vya Dodoma na kukusanyika sehemu moja na kula bata kwa pomoja,Nuh Mziwanda A.K.A (Baba Shishi)wekeend hii alivunja histori katika show zote alizowahi kufanya Dodoma ikiwemo ile ya Fanya yako iliyofanyia miaka miwili iliyopitaa... Hii ndio ilikuwa mara ya kwanza kupata support kubwa sana kwa kuimba na kucheza Mshabiki wa Mkoani Dodoma..Nuh Mziwanda aliwakonga madent kwa mlipuko wa shangwe za nguvu huku vumbi kubwa likitimka juu baada ya kumwomba dent mmoja kuchukua nafasi ya Shilole kwenye wimbo wa Msondongoma .
Alijitokeza mtoto mkali aliyokuwa na mzuka kiasi ya kwamba Nuh kubaki mdomo wazi , Nuh alipewa mauno mpaka akadata mwenyewe.

USISITE KUTUACHIA UJUMBE WAKO HAPO CHINI.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top