Ni
msimu wa dhababu unaoendelea kuusambaza upendo… Tour ya Serengeti
Fiesta 2014 inaendelea kwenye mikoa mbalimbali ambapo Ijumaa hii ni hapa Musoma na Jumapili ni Shinyanga kote huku kukiwashuhudia live
kwenye stage wakali kama Nay wa Mitego, Roma, Recho, Nikki wa II,
Stamina, Young Killer, Shilole, Chege na Temba na wengine.
Hiki utachokiona kwenye hii video hapa chini kilifanyika Moshi
weekend iliyopita ambapo Fid Q na Stamina walifanya suprise na kumuita
huyu mrembo kwenye stage, ukishamaliza kuitazama niambie nani katisha.
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment