Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Kichwa kingine kwenye headlines za muziki Afrika Mashariki

Screen Shot 2014-09-03 at 1.03.28 AM 
Anaitwa Rema Namakula maarufu kama Rema alianza kuimba kama back up artist wa staa mwingine wa Uganda aitwae Bebe Cool lakini alitimuliwa kazi baada ya Bebe kumuona kwenye TV akizungumzia muziki wake kitu ambacho Bebe hakuwa anakifahamu.

Mwaka 2013 ndio Bebe alimtimua mtoto huyu wa mwimbaji Halima Namakula na huo ndio ukawa mwanzo wake wa kufanya muziki kama solo artist so bado ni mtu mpya kwenye game ila voco yake na kipaji kwa ujumla vimemnyanyua sana na moja ya hits zake ni hii ‘muchuzi’ hapa chini.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top